weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sehemu
kubwa ya gharama ya kuendesha website ni matangazo ili website yako ijulikane.
Perfect Internet haiingii gharama hii kwa sababu profit sharing members wake
ndio wanaoitangaza. Hivyo Perfect Internet imeamua kutumia hela ambazo ingebidi
wazilipe kwa ajili ya matangazo ku share na wanachama wake wa kulipwa
Ibasibasibasi
Watanzania wengi hasa vijana wananielewa na wanachangamkia hii fursa. Nitazidi kuwaamsha Watanzania wenzangu ili wasibaki nyuma kwenye kutafuta njia mbadala za kuwekeza. Dunia hii ni yetu sote na Watanzania wana haki ya kuchangamkia fursa za dunia badala ya kukaa kulalamika kila siku. Mimi taaluma yangu ni Mshauri wa Biashara na nina Enterprise yangu inaitwa Biznocrats Consulting Enterprise. Wenye masikio na wasikie.
saddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddd
sadddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddds

No comments:
Post a Comment